Jifunze Computer Na Simu ( I.T )
February 25, 2025 at 07:29 AM
Hizi ndio sababu za simu yako kuwa nzito saana mpaka uizime na kuwasha tena
👉 Kutoupdate system mda mrefu
👉 App zote Notification kuwa on
👉 Ram ndogo na storage ndogo
👉 Auto startup app
👉 Storage kujaa sana
👉 Background running app