
HONDA TANZANIA “Pikipiki namba 1 Duniani”
February 14, 2025 at 02:06 PM
Honda Tanzania Yasheherekea Valentine na Wateja Wake!
Katika Kusherehekea siku hii ya upendo, Honda Tanzania ilionesha thamani kwa wateja wake kwa kutoa huduma ya ukaguzi wa chombo, ubadilishaji wa Oili na ushauri wa kitaalamu bure kwenye Boda Clinic iliyo fanyika Mbagala, Sabasaba kwa Mpili.
Tunawashukuru kwa kuwa sehemu ya familia ya Honda na tunawatakia Valentine njema!
#hondatanzania #bodaclinic #valentinesday
❤️
1