
EfathaTV
February 25, 2025 at 03:21 PM
*_Huu ni mtoko wa kila mwanamke wa Efatha aliyeamua kusimama imara kunako nafasi yake ili kuchukua milki yake. Ni Jumamosi ya tarehe 8 Machi 2025, kuanzia saa 2.00 asubuhi katika kanisa lolote la Efatha lililo karibu nawe kuzunguka nchi nzima. Kama una ratiba yoyote siku hiyo, basi chonde chonde fanya kuihamishia siku nyingine, tunajua kwamba ni ya umuhimu lakini tukio hili ni muhimu zaidi ya ratiba uliyonayo siku hiyo. Utatushukuru baadae!_*
Katika siku hii tutahakikisha kwamba Roho yako inalishwa vya rohoni na mwili wako unalishwa & kunyweshwa vya mwilini—HAUTAONDOKA KAMA ULIVYOKUWA, UTAKUJA JINSI ULIVYO LAKINI HAUTAONDOKA KAMA ULIVYOKUJA!!!
Tusaidie kushea na kila mwanamke aliye katika phonebook ya siku yako!!!
————————————
*#theyeartostandinposition*
*#efathatv*
*#webringtheworldtojesus*