
EfathaTV
3.6K subscribers
About EfathaTV
This is an official channel for Efatha Televison, under Apostle & Prophet Josephat E. Mwingira. WE BRING THE W🌍RLD TO JESUS!
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

☆☆☆☆☆☆☆☆☆ *UKIRI WA LEO | ALHAMISI | MEI 29, 2025* ☆☆☆☆☆☆☆☆☆ 💡 NAIBARIKI ALHAMISI YANGU, MIMI NIMEBARIKIWA. 💡 KARAMU HAZITAPUNGUA KWANGU MAANA KWANGU NI SHEREHE & FURAHA TELEE 💡 NA NITAKULA VITAMANIKAVYO 👌 💡 KARAMU, TAFRIJA, SHEREHE NA KICHEKO HAVITAKOMA KWANGU. 💡 HIVYO ALHAMISI YANGU IMEBARIKIWA. 💡HIVYO MIMI (TAJA JINA LAKO) NITAKULA VINONO SIO VICHACHU 💡 SITALALA NJAA MIMI NA WALA SITABANGAIZA CHAKULA AMEN!!! UKAWE NA ALHAMISI YENYE BARAKA!!! ———————————— *#Theyeartostandinposition* *#EfathaTV* *#Webringtheworldtojesus*

Tuliianza wiki kwa kujua mbinu za kushinda nguvu za giza, kisha tukapata maarifa ya kujua jinsi ya Kutembea na Mungu katika hali ya Unyenyekevu. Alhamisi hii! utafahamu namna ya kudumisha mahusiano mazuri na Mungu kwa kuishi MAISHA YA TOBA, tukiongozwa na Mch. Caroline Sigonda. Haya yote yatakujia kupitia @efathatv kwenye Kipindi cha Safari Kinachoruka Mbashara Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia 8 Mchana - 10 Jioni Tufuatilie kwenye ukurasa wetu wa Youtube na Facebook kwa jina la EFATHA TV ------------------------------------------ #ombachukuanafasi #Theyeartostandinposition #EfathaTV #webringtheworldtojesus


Mtu mnyenyekevu hukubali mapungufu yake na kuamua kujisahihisha ili awe bora zaidi. @ Mtume. Betson Kikoti Full session inapatikana Youtube na Facebook @efathatv

SIKU YA 29 YA KUFUNGA NA KUOMBA ---------------------------------------- 27 Tazama, mimi ni Bwana, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza? Yeremia 32: 27 #OMBA CHUKUA NAFASI


https://www.youtube.com/live/ZefLq2j-rz0?si=LUAYGZ7Wlr3IzFAF SAFARI YA IMANI Broadcast at Efatha church Mwenge, DSM — Tz --- ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️ CHANNEL YETU YA YOUTUBE NI MPYA — HIVYO HAKIKISHA UNA’SUBSCRIBE ILI USIPITWE NA MATANGAZO YETU. ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️ 🌍 YouTube 📺 👇👇👇👇 https://www.youtube.com/live/ZefLq2j-rz0?si=K4jM9-Lk5VgaHFsS 🌍 Facebook 📺 👇👇👇 https://fb.watch/zSGHWff6ni/?mibextid=UyTHkb 🌍 Limex World TV 📺 🔎 Efatha TV 🌍 Azam Decoder 📺 👇👇👇👇 Kwenye other channels > Efatha TV 🌍 Continental Decoder 📺 👇👇👇👇 Channel no. 18 Please share! ———————————————— *Theyeartostandinposition* *#Efathatv* *#Webringtheworldtojesus*

Mwanaume lazima awe na kitu cha kufanya ndipo atafute mke amsaidie. Mwanasaikolojia @robertreuben Tembelea ukurasa wetu wa Youtube na Facebook @efathatv ------------------------------------#ombachukuanafasi #Theyeartostandinposition #EfathaTV #WeBringTheWorldToJesus

https://www.youtube.com/live/-XFvKtJkL8I?si=_vICDKP4vdap6mI3 IBADA MAALUM YA KUFUNGA NA KUOMBA. Broadcast at Efatha church Mwenge, DSM — Tz --- ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️ CHANNEL YETU YA YOUTUBE NI MPYA — HIVYO HAKIKISHA UNA’SUBSCRIBE ILI USIPITWE NA MATANGAZO YETU. ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️ 🌍 YouTube 📺 👇👇👇👇 https://www.youtube.com/live/-XFvKtJkL8I?si=V4uLOTCWy4B4Nqwf 🌍 Facebook 📺 👇👇👇 https://fb.watch/zU8z8QCrnX/?mibextid=UyTHkb 🌍 Limex World TV 📺 🔎 Efatha TV 🌍 Azam Decoder 📺 👇👇👇👇 Kwenye other channels > Efatha TV 🌍 Continental Decoder 📺 👇👇👇👇 Channel no. 18 Please share! ———————————————— *Theyeartostandinposition* *#Efathatv* *#Webringtheworldtojesus*

https://www.youtube.com/live/s6Qwn2MKVX8?si=U94X0XMoHpBo-JOm SAFARI YA IMANI Broadcast at Efatha church Mwenge, DSM — Tz --- ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️ CHANNEL YETU YA YOUTUBE NI MPYA — HIVYO HAKIKISHA UNA’SUBSCRIBE ILI USIPITWE NA MATANGAZO YETU. ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️ 🌍 YouTube 📺 👇👇👇👇 https://www.youtube.com/live/s6Qwn2MKVX8?si=mhHFcgnq5Adlw3M5 🌍 Facebook 📺 👇👇👇 https://fb.watch/zT_YfVLCUf/?mibextid=UyTHkb 🌍 Limex World TV 📺 🔎 Efatha TV 🌍 Azam Decoder 📺 👇👇👇👇 Kwenye other channels > Efatha TV 🌍 Continental Decoder 📺 👇👇👇👇 Channel no. 18 Please share! ———————————————— *Theyeartostandinposition* *#Efathatv* *#Webringtheworldtojesus*

https://www.youtube.com/live/MpQ47JBNI7Y?si =i4JeOIMqpBOP2s3m IBADA MAALUM YA KUFUNGA NA KUOMBA Broadcast at Efatha church Mwenge, DSM — Tz --- ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️ CHANNEL YETU YA YOUTUBE NI MPYA — HIVYO HAKIKISHA UNA’SUBSCRIBE ILI USIPITWE NA MATANGAZO YETU. ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️ 🌍 YouTube 📺 👇👇👇👇 https://www.youtube.com/live/MpQ47JBNI7Y?si=g1-2h_VKwYAFpsF5 🌍 Facebook 📺 👇👇👇 https://fb.watch/zSPcuNCLHZ/?mibextid=UyTHkb 🌍 Limex World TV 📺 🔎 Efatha TV 🌍 Azam Decoder 📺 👇👇👇👇 Kwenye other channels > Efatha TV 🌍 Continental Decoder 📺 👇👇👇👇 Channel no. 18 Please share! ———————————————— *Theyeartostandinposition* *#Efathatv* *#Webringtheworldtojesus*

Global Sunday Service ilikuwa yenye baraka na Nguvu ya Mungu, watu walipokea kwa namna ya ajabu hakika Mungu hajamuacha hata mmoja kati ya watu wote waliohudhuria ibada hii. Usikose Jumapili ijayo, mualike na rafiki yako! NB: KAMA ULIBARIKIWA NA IBADA YA JUMAPILI SEMA AMEN! #GlobalService #ombachukuanafasi #Theyeartostandinposition #EfathaTV #WeBringTheWorldToJesus