EfathaTV
EfathaTV
February 25, 2025 at 09:49 PM
☆☆☆☆☆☆☆☆☆ *UKIRI WA LEO | JUMATANO | FEBRUARY 26, 2025* ☆☆☆☆☆☆☆☆☆ 💡 NAIBARIKI JUMATANO YANGU, LAZIMA NICHUKUE NINACHOTAKIWA KURITHI 😋 💡 MIMI NI MMILIKI NA NITAMILIKI PAMOJA NA WAMILIKI. 💡NACHUKUA URITHI WANGU LEO JUMATANO. 💡 JUMATANO NI SIKU YA KUCHUKUA SEHEMU YANGU, NI SIKU YA KUCHUKUA URITHI WANGU, KWA HIYO JUMATANO YANGU IMEBARIKIWA NA BWANA. 💡 SITAKAA UCHOCHORONI MIMI NA WALA SITAKUWA MPANGAJI MILELE. 💡 MIMI NITAPANGISHA, MIMI SITAKUWA WA KUOMBA—OMBA, NITAKOPESHA. 💡 MIMI SITAPANGA FOLENI KWENYE MIKOPO ILA WATAKUJA KUNIKOPA MAANA NITAKUWA NA UTELEEEE!!! AMEN!!! UKAWE NA JUMATANO YENYE BARAKA!!! ——————————————— *#theyeartostandinposition* *#efathatv* *#webringtheworldtojesus*
🙏 ❤️ 3

Comments