
EfathaTV
February 25, 2025 at 09:50 PM
_*15, 14, 13, 12,.11, sasa tumebakiwa na siku 10 NET!!!*_
Pick your countdown stones—Start taking them out daily, kwa sababu ile Siku ya Mwanamke wa Efatha is just around the corner na imeanza kunukia kabisa 👃 We can sense it in the air and feel it in the atmosphere!
Kama hujaandika matarajio yako, basi fanya hivyo sasa, kwa maana tumekaribia kutamatisha kabisa #countdowns zetu!
📅 March 08th, 2028
⏰ 2:00 asubuhi
📍Kanisa la Efatha lolote lililo karibu nawe kuzunguka nchi nzima.
Get ready for an extraordinary time because God is up to something kwa ajili ya kila Mwanamke atakayeshiriki katika tukio hili la kihistoria, either kwa kufika katika Kanisa lolote la Efatha lililopo karibu nawe au kwa kujiunga nasi mbashara kwa njia ya mtandao!!!
———————————
*#theyeartostandinposition*
*#efathatv*
*#webringtheworldtojesus*
❤️
🙏
2