TaifaHouse
TaifaHouse
February 1, 2025 at 03:30 AM
*Ushauri wa Zitto Tanzania-DRC* Zitto Zitto Zitto nimekuita x3, ushauri mzuri lakini utachochea uadui x100 hasa ukizingatia nchi jirani zinataka kipande kidogo tu cha ardhi ndo hiyo vita, alafu eti Tanzania ichukue nchi yote 🤣🤣🤣🤣. Zanzibar mpaka leo kuna nchi, na nchi ni moja inaitwa Tanzania.
😂 1

Comments