TaifaHouse WhatsApp Channel

TaifaHouse

170 subscribers

About TaifaHouse

Karibu TaifaHouse, Ya Kujivunia ni Tele

Similar Channels

Swipe to see more

Posts

TaifaHouse
TaifaHouse
5/29/2025, 6:40:37 AM
Video
TaifaHouse
TaifaHouse
3/2/2025, 3:52:17 AM

*Marekani hawajawahi kuisaidia Ukraine* 🇺🇦 Marekani ikikupa fedha kwa ajili ya jambo fulani, ni lazima jambo hilo lifanywe na kampuni ya Marekani ili fedha irudi kwao. Kwa mfano, Marekani imetoa Bilioni kadhaa kusaidia vita Ukraine, lakini fedha hizo zimeishia kununua silaha kutoka Marekani, kwa gharama kubwa na silaha hizo zimesafirishwa na dege za Marekani kwa gharama kubwa, hivyo sio msaada wa kijeshi bali biashara maana fedha zote zinarudi kwenye kampuni za Marekani na bado nchi yako itadaiwa. Pamoja na marais wa Marekani kubadilika, nchi ya Marekani haijawahi kubadilika, wanaamini katika ubepari, na ni dhahiri kwamba kuna wakati wanalazimika kutengeneza vita kwa ajili kuu 3 1. Kufanya majaribio ya vifaa vyao vipya vya kijeshi 2. Kuingiza fedha za kigeni kwa kuuza vifaa vya kivita 3. Kutoa vifaa vya zamani ambavyo wanahisi vimeshapitwa na wakati 4. Kujipima nafasi yao na kuitishia Dunia.

👍 🤔 3
Image
TaifaHouse
TaifaHouse
2/18/2025, 8:30:42 AM

Baadhi ya madini hadimu yanayopatikana Ukraine 🇺🇦

Image
TaifaHouse
TaifaHouse
2/19/2025, 7:36:52 PM

Hii ndio habari ambayo Zelensky alikuwa hataki kuisikia, alimaliza muda wake wa utawala may 2024, akatangaza tamko la kijeshi nchi ikaingia vitani akabaki kuwa Rais huku akiwa anavuta mpunga kutoka Marekani. Vita vikiisha atapoteza vitu viwili, 1. Urais unaisha maana tunatangaza uchaguzi 2. Fedha alizokuwa anapewa sababu ya vita

🤔 1
Image
TaifaHouse
TaifaHouse
2/18/2025, 4:37:01 AM

*Rwanda ana cha kujifunza Ukraine, msaada wa Marekani haujawahi kuwa BURE* Awali Rais Zelensky wa Ukraine, ilifika mahali akaonekana kama comedian na muigizaji aliyewekwa jukwaani kufanya show, ooh hakujua kama anakuwa marinated for food, na sasa muda wa kula umefika 🤣🤣 Rais Trump wa Marekani ameelekeza option 2 kwa Ukrain kama malipo ya msaada uliotolewa na Marekani wakati wa vita, 1. Ukraine iwape Marekani umiliki wa 50% wa madini hadimu Duniani yanayopatikana Ukraine. 2. Ukraine ikikataa kutoa umiliki wa madini hayo, itatakiwa kulipa dola bilioni 300 Kabla ya hatua hiyo, Marekani ilipiga hesabu ikaonekana kwamba ili Ukraine ishinde vita dhidi ya Russia, itaigharimu marekani ongezeko la dola Bilioni 808 kwa ajili ya Ukraine 🇺🇦 kwenye vita Gharama hiyo Marekani haitaitoa, na hivyo ameamua kusitisha vita na kuanza madai yake ya dola Bilioni 300 kutoka Ukraine Ujasiri aliokuwa nao Ukraine, ndio anao Rwanda..

Image
TaifaHouse
TaifaHouse
2/18/2025, 8:30:49 AM
Image
TaifaHouse
TaifaHouse
2/19/2025, 6:17:21 PM

*Kutoka Kwa TRUMP* Awali niliandika kwa staha kuhusu comedy za Rais wa Ukraine, Zelensky, sasa TRUMP ameweka wazi. Soma mwenyewe

Image
TaifaHouse
TaifaHouse
2/15/2025, 9:52:38 PM

*ZanzibarNiSalama* Miti ya miembe iliyopandwa zaidi ya miaka 100 iliyopita chini ya ufalme wa Sultan #NiMwinyi #TaifaHouse

👍 1
Video
TaifaHouse
TaifaHouse
2/22/2025, 3:43:06 AM

M-mama wins two awards during TEHAMA Awards, hongera sana kwa timu yote ya m-mama. Ni mwaka wa 4 mfululizo kila mwaka tunapokea tuzo, Tanzania Digital Awards tumekuwa washindi kila mwaka, na sasa imeanzishwa TEHAMA Awards pia tumeshinda category 2. Hongereni sana Team kwa huduma hii ya mama mjamzito na mtoto. #mmama

🔥 1
Image
TaifaHouse
TaifaHouse
2/20/2025, 4:37:39 AM

🤣🤣🤣 Motivational Speakers wako wapi?

😂 3
Image
Link copied to clipboard!