TaifaHouse
TaifaHouse
February 5, 2025 at 09:49 PM
*R.I.P Aga Khan.* Ndio, Aga Kan IV ambae pia ni kiongozi wa kiroho wa 49 wa washia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. Wengi mtashangaa kwamba Aga Khan ni mtu? Tumezoea Hospital, Vyuo vikuu na Foundation zake. Katika utawala wake Aga Khan amekuza huduma za afya kufika vituo vya afya 237 vinavyomilikiwa na Aga Khan katika Bara la Asia pamoja na Afrika Mashariki. Pambana mpaka jina lako liwe brand, bila shaka hujui kama Marcedes ni jina la mtu aliyeungana na mtu mwingine aliyeitwa Benz na kutengeneza Brand ya Marcedes Benz, hii tutaendelea nayo siku nyingine..

Comments