TaifaHouse
February 10, 2025 at 05:30 AM
*Tatizo sio Malema, ni kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel, na Afrika Kusini kutumika na BRICS*
Disemba ya Mwaka 2023 Afrika ya Kusini ilifungua kesi mahakama ya Kimataifa (International Court of Justice - ICJ) iliyo chini ya Umoja wa Mataifa kusimamia haki Duniani na kuishitaki Israel kwa namna inavyowafanyia wapalestina. January baadhi ya maelekezo ya awali yalitoka na Israel alitakiwa kutekeleza, Oktoba 2024 Afrika Kusini iliongeza vithibitisho zaidi vya kuwaweka Israel hatiani.
Jambo hilo liliwakwaza sana viongozi wa Marekani wakiamini kwamba BRICS muungano wa kimaraifa unaojumuisha South Africa ndio wameandaa mpango huo na kuitumia Afika Kusini kama Proxy. Israel ni kama Taifa la Marekani, alivyoingia tu Rais Trump, alikuwa na agenda za siri ambazo hakuzisema hadharani wakati wa kampeni, akaanza kazi:
1. Kuimilikisha ukanda wa Gaza kwa Marekani (jambo hili amelitangaza wiki iliyoisha) lengo ni kuwaondoa wa Palestina na kujenga mji mpya wa kitalii kwa watu wote (Kama Dubai mpya hivi)
2. Next....