TaifaHouse
TaifaHouse
February 10, 2025 at 05:31 AM
*Tatizo sio Malema, ni kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel, na Afrika Kusini kutumika na BRICS* Inaendelea.. 2. Kuwashughulikia wanaoishughulikia Israel, ambapo kinara alikuwa Afrika Kusini kwa kujitoa sadaka na kufungua kesi Mahakama ya ICJ. Hii imeanza siku chache baada ya Rais Trump kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Waziri Mkuu wa Israel mapema wiki iliyoisha. 3. january 2025 katika hotuba yake Rais Trump alichanganya herufi ya S kwenye BRICS alidhani ni Spain na akawaamvia watamtambua, kumbe ni S South Africa, alipokuja kujua kwamba ni Afrika Kusini hasira zake zilipanda x1000 kama rocket za Elon Hao wakina Malema ni wameingia tu kwenye mchezo maana sababu ilikuwa inatafutwa.
😢 1

Comments