TaifaHouse
TaifaHouse
February 12, 2025 at 10:58 AM
*Ni Dkt. Ntuli, Tanzania Imeshinda* Hongeraaaaaa kwa ushindi wa kishindo Dkt. Ntuli Kapologwe, hakika Tanzania imeendelea kuwa kinara wa Diplomasia ya Afya Afrika. Sisi Kama TaifaHouse, Sisi m-mama, Sisi RAs, Sisi TaskForce, Sisi Afya ya Msingi, Sisi Afya ya Jamii, Sisi Watanzania tunakupongeza sana kwa kutuinua. Ntuli to the World 🌎 🔥 🔥
❤️ 1

Comments