TaifaHouse
TaifaHouse
February 12, 2025 at 06:46 PM
*LISSU na Msimamo wa CHADEMA* 1. *Je, CHADEMA wanaweza kususia uchaguzi, NDIO,* wanaweza kama chama lakini kwa sasa wametangaza hawatasusia uchaguzi, kwasababu waliwahi kuona madhara yake. Ukisusa wenzako wala 2. *Je, CHADEMA wanaweza kuzuia Uchaguzi? HAPANA* hiyo sio kazi yao, mwenye mamlaka ya kutangaza na kuhairisha uchaguzi ni Tume huru ya Uchaguzi pekee. 3. *Je, Uchaguzi usipokuwepo, nini kitatokea?* Rais aliyepo Madarakani na Makamu wake wa Rais wataendelea kuongoza hadi pale uchaguzi utakapofanyika na viongozi wateule wakaapishwa. Hiyo bado ni hasara kubwa kwa CHADEMA Inaendelea....
👍 1

Comments