
TaifaHouse
February 12, 2025 at 06:48 PM
*LISSU na Msimamo wa CHADEMA*
...Inaendelea...
4. *Je CHADEMA wanamaanisha nini kusema hakuna uchaguzi?,* wamesema watatangaza Dunia nzima lakini pia watatumia nguvu zao zote kuzuia uchaguzi, maneno ambayo yana viashiria vya fujo, maandamano n.k
5. *Je wakitangazia Dunia itafanya nini?* Kwa sasa nchi kubwa kama Marekani na Umoja wa Ulaya wametangaza kupitia upya sera zao za mambo ya nje ili pesa ielekee tu kule inapoona kuna tija, hiyo uchaguzi huu tofauti na miaka mingine unaweza usiwe na macho mengi hasa kwa mataifa ambayo hayanufaiki na Tanzania.
😮
1