TaifaHouse
TaifaHouse
February 13, 2025 at 08:29 AM
*Wanaharakati mko wapi?* 2/3 #inaendelea... Hatuwaoni kabisa wana harakati tuliowazoea nchini wakisimama na kulisemea kutwaliwa kwa Gaza, kama ambavyo ilivyokuwa kule Loliondo, watu kuhamishwa kutoka wilaya moja kwenda nyingine ilikuwa jambo kubwa mno, ila watu kuhamishwa kutoka nchi yao kupelekwa kuishi kama wakimbizi inaonekana sio issue kabisa. Kule Loliondo ilipigwa kelele moja ya kimataifa, watu walitaka kuleta vita, picha zilichukuliwa zingine za kutengeneza ilimradi tu Dunia ione hali ni mbaya. ..inaendelea...

Comments