TaifaHouse
TaifaHouse
February 13, 2025 at 08:35 AM
*Wanaharakati mko wapi?* 3/3 ...inaendelea.... Ukizingatia namna wanaharakati wa mazingira walivyonyoosha shingo kuhusu EACOP (Bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda hadi Tanga) pamoja na kwamba mradi ulishaanza na umefika hatua kubwa, bado wanaharakati kupitia fedha za kusukuma agenda hawakulala, kila siku ni hashtags za namna ya kuzuia mradi usiendelee, licha ya kujua faida zake kwa nchi na wananchi. Baada ya Trump kuingia amejitoa kwenye makubaliano yote ya kimataifa kuhusu mazingira, na ameruhusu makampuni kuendelea kutengeneza gari za kutumia Petrol Je tutegemee mapya zaidi kwa wanaharakati? Au agenda zinasimama kwa muda?

Comments