
TaifaHouse
February 14, 2025 at 05:16 PM
*Hodi Kizimkazi,*
Yes ni ValentineDay ambayo imedondokea kwenye #zanzibarretreat2025.
Tukafika Zanzibar, Rais Mwinyi amefanya maajabu Zanzibar, lakini kabla sijakuletea habari, ustaharabu ni kuripoti kwanza shekhe, mji wa watu huu.
Hodi Kizimkazi
##zanzibaretreat
😊
1