TaifaHouse
TaifaHouse
February 15, 2025 at 07:19 AM
*#taifahouse* Ni leo, tutashuhudia uwezo wa siasa na ushawishi wa kikanda wa Tanzania katika uchaguzi wa AUC, ikumbukwe Tanzania ndiye mwenye kura ya kimkakati akiwa mwanajumuia wa SADC na Africa Mashariki. Uchaguzi ni leo, nchini Ethiopia *#nisamiaamefanya*
❤️ 1

Comments