TaifaHouse
TaifaHouse
February 18, 2025 at 04:37 AM
*Rwanda ana cha kujifunza Ukraine, msaada wa Marekani haujawahi kuwa BURE* Awali Rais Zelensky wa Ukraine, ilifika mahali akaonekana kama comedian na muigizaji aliyewekwa jukwaani kufanya show, ooh hakujua kama anakuwa marinated for food, na sasa muda wa kula umefika 🤣🤣 Rais Trump wa Marekani ameelekeza option 2 kwa Ukrain kama malipo ya msaada uliotolewa na Marekani wakati wa vita, 1. Ukraine iwape Marekani umiliki wa 50% wa madini hadimu Duniani yanayopatikana Ukraine. 2. Ukraine ikikataa kutoa umiliki wa madini hayo, itatakiwa kulipa dola bilioni 300 Kabla ya hatua hiyo, Marekani ilipiga hesabu ikaonekana kwamba ili Ukraine ishinde vita dhidi ya Russia, itaigharimu marekani ongezeko la dola Bilioni 808 kwa ajili ya Ukraine 🇺🇦 kwenye vita Gharama hiyo Marekani haitaitoa, na hivyo ameamua kusitisha vita na kuanza madai yake ya dola Bilioni 300 kutoka Ukraine Ujasiri aliokuwa nao Ukraine, ndio anao Rwanda..

Comments