
TaifaHouse
February 19, 2025 at 07:36 PM
Hii ndio habari ambayo Zelensky alikuwa hataki kuisikia, alimaliza muda wake wa utawala may 2024, akatangaza tamko la kijeshi nchi ikaingia vitani akabaki kuwa Rais huku akiwa anavuta mpunga kutoka Marekani. Vita vikiisha atapoteza vitu viwili,
1. Urais unaisha maana tunatangaza uchaguzi
2. Fedha alizokuwa anapewa sababu ya vita
🤔
1