TaifaHouse
TaifaHouse
March 2, 2025 at 03:52 AM
*Marekani hawajawahi kuisaidia Ukraine* 🇺🇦 Marekani ikikupa fedha kwa ajili ya jambo fulani, ni lazima jambo hilo lifanywe na kampuni ya Marekani ili fedha irudi kwao. Kwa mfano, Marekani imetoa Bilioni kadhaa kusaidia vita Ukraine, lakini fedha hizo zimeishia kununua silaha kutoka Marekani, kwa gharama kubwa na silaha hizo zimesafirishwa na dege za Marekani kwa gharama kubwa, hivyo sio msaada wa kijeshi bali biashara maana fedha zote zinarudi kwenye kampuni za Marekani na bado nchi yako itadaiwa. Pamoja na marais wa Marekani kubadilika, nchi ya Marekani haijawahi kubadilika, wanaamini katika ubepari, na ni dhahiri kwamba kuna wakati wanalazimika kutengeneza vita kwa ajili kuu 3 1. Kufanya majaribio ya vifaa vyao vipya vya kijeshi 2. Kuingiza fedha za kigeni kwa kuuza vifaa vya kivita 3. Kutoa vifaa vya zamani ambavyo wanahisi vimeshapitwa na wakati 4. Kujipima nafasi yao na kuitishia Dunia.
👍 🤔 3

Comments