
NURU YA UPENDO
May 14, 2025 at 04:55 PM
🔥Matokeo
Inaonekana wengi wetu tumechagua *UPENDO* .
Vema sana, ki-uhalisia yote ni muhimu, lakini pia Upendo humeza mambo mengi.
👇🏾
1 Petro 4:8
_[8]Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi.__
🙏
❤️
👍
❤
💪
49