
Nairobi City Water & Sewerage Co. Ltd
June 4, 2025 at 10:16 AM
📍 Happening Now: NCWSC pamoja na County Assembly Representatives wako Mihang’o Chief’s Camp kwa Public Participation Forum.
Tuko hapa kusikiliza maoni yenu, kushughulikia malalamiko ya ukosefu wa maji, na kutoa suluhisho.💧

🙏
1