Economist SHILLA Jr.
May 13, 2025 at 11:27 AM
Huduma zetu ni pamoja na; MAFUNZO NA USHAURI; Usimamizi wa fedha, Uwekezaji, Kujiandaa kustaafu, Uwekaji akiba, Mikopo na jinsi ya kuondokana na madeni sugu, n.k, MAFUNZO NA USHAURI: Uanzishaji na uendelezaji wa biashara, Mipango ya biashara, Usimamizi wa biashara, utafutaji na utafiti wa masoko, Huduma kwa wateja, n.k. Walengwa wa huduma zetu ni pamoja na makundi mbalimbali kama vile: MTU MMOJA MMOJA, TAASISI, WAFANYAKAZI KATIKA TAASISI MBALIMBALI, VIKUNDI VYA WAJASIRIAMALI, WAFANYABIASHARA WADOGO, VIKUNDI/ JUMUIYA MBALIMBALI VYA KIJAMII, n.k. Mawasiliano na mialiko yote ya kibiashara ipitie kwa simu namba 0672619660 na baruapepe [email protected]. GHARAMAZ ZETU NI NAFUU SANA

Comments