Economist SHILLA Jr.
June 7, 2025 at 04:56 AM
KANUNI 10 ZITAKAZOKUPA MATOKEO MAKUBWA KATIKA MAISHA BILA KUJALI ENEO LA KAZI YAKO: 1. Tafuta maarifa, tafuta ujuzi, tafuta elimu na uelewa wa mambo muhimu katika mwelekeo wa maisha yako; 2. Siku zote fanya unachokifanya zaidi ya matarajio ya watu; 3. Usitumie maneno mengi kujitambulisha kwa watu, acha KAZI yako bora ikutambulishe; 4. Katika maisha ishi na mipango ya muda mrefu iliyo hai, usisubiri pesa ipatikane ndipo upange nini Cha kufanya; 5. Saidia watu pale unapoweza, kwani Mungu amekufanya uwe daraja au njia ya mafanikio kwa wengine, kumbuka wema ni hazina; 6. Biashara ni Imani, Kipaji na Juhudi, usipokuwa navyo hivyo vitatu, endelea kuwa mwajiriwa tuu, usifuate mkumbo; 7. Katika Kila ukifanyacho hakuna matokeo makubwa ya haraka haraka, kuwa na subira na uvumilivu kwani mambo mazuri hayataki haraka; 8. Ukitaka kujenga chapa Yako, na ufike mbali hakikisha unatatua changamoto za watu kwa viwango kwa kile unachokifanya. Kumbuka watu wanahitaji suluhu itakayoleta matokeo chanya. KAMA KUNA JAMBO UMEJIFUNZA TUAMBIE KWENYE COMMENT NA USIACHE KUSAMBAZA (SHARE) ANDIKO HILI. Book huduma zetu; 1. Ushauri wa ana kwa ana bila kujumuisha maandalizi ya NYARAKA n.k (120,000/=); 2. Ushauri kupitia simu pekee (40,000/=); 3. Kuandaa NYARAKA ya mpango wa biashara au mradi (150,000 - 500,000/=) 4. Kuzungumza katika tukio (250,000/= bila kujumuisha gharama za kujikimu kama zipo); 5. Kufundisha mada mbalimbali (25,000/=@mshiriki au 250,000/= kwa siku, washiriki wasiozidi 10); Kwa mawasiliano na mialiko yote ya kibiashara piga simu 0672619660 au baruapepe [email protected]

Comments