Side Makini Blog
Side Makini Blog
June 4, 2025 at 08:48 PM
Je, umewahi kufikiria filamu ya Ip Man 5 ikiwakutanisha Donnie Yen, Jackie Chan, na Jet Li? Hii ni ndoto ya kila mpenzi wa filamu za sanaa ya mapigano! Fan-made poster hii ya kuvutia imechapishwa na ukurasa wa @ipmanwingchunma, ikionyesha uwezekano wa filamu ya kipekee ambayo ingebadilisha kabisa tasnia ya sinema. Je, ungependa kuona filamu kama hii ikitokea kweli? Tuambie maoni yako! #sidemakiniblog
Image from Side Makini Blog: Je, umewahi kufikiria filamu ya Ip Man 5 ikiwakutanisha Donnie Yen, Ja...

Comments