
Side Makini Blog
56 subscribers
About Side Makini Blog
Side Makini Blog Tanzania’s #1 Music and Video, & Infotainment Hub Promotions & Ads: 📞 0749 657118 | 📧 [email protected]
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Uongozi wa msanii maarufu #GigyMoney wamethibitisha rasmi kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, wamesema: “Ni kweli GIGY anaumwa na anahitaji sana maombi yenu. Hajapigwa wala hajapigana kama inavyosambazwa mtandaoni. Anahitaji faraja, amani na mapumziko. Ni mama wa mtoto, na mtoto wake anamuhitaji.” 🤍 Tumuombee kipenzi hiki cha wengi kwa uponyaji wa haraka. 🙏🏽 We love you Gigy. #SideMakiniBlog


Msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania 🇹🇿, #DiamondPlatnumz, ameweka historia mpya kwa kuwa msanii wa kwanza Kusini mwa Jangwa la Sahara kufikisha milioni 10+ subscribers kwenye YouTube! Kupitia muziki wake, Diamond ameendelea kuibeba Bongo Flava hadi kimataifa 🌍 👑 Top 10 Artists YouTube Subscribers – South of Sahara (2025): 1️⃣ @diamondplatnumz – 10.1M 2️⃣ @rayvanny – 5.74M 3️⃣ @burnaboygram – 5.35M 4️⃣ @harmonize_tz – 5.16M 5️⃣ @fallyipupa01 – 5.04M 6️⃣ @heisrema – 4.94M 7️⃣ @tyla – 4.86M 8️⃣ @davido – 4.55M 9️⃣ @ckay_yo – 4.21M 🔟 @officialzuchu – 3.97M 🔥 Wadau wa muziki, mnasemaje kuhusu mafanikio haya ya Chibu Dangote? #SideMakiniBlog


Jovial Ft Otile Brown – I Got You https://sidemakini.com/2025/06/19/jovial-ft-otile-brown-i-got-you/ via @Side Makini Blog

VIDEO: Mbosso – Pawa (Official Video) https://sidemakini.com/2025/06/19/video-mbosso-pawa-official-video/ via @Side Makini Blog

Vanillah – I Gat U https://sidemakini.com/2025/06/19/vanillah-i-gat-u/ via @Side Makini Blog

Professor Jay X Jose Chameleone X Q Chief – Ebenezer https://sidemakini.com/2025/06/20/professor-jay-x-jose-chameleone-x-q-chief-ebenezer/ via @Side Makini Blog

Phina – Rehab https://sidemakini.com/2025/06/19/phina-rehab/ via @Side Makini Blog

Kusah Ft Billnass – Rewind https://sidemakini.com/2025/06/19/kusah-ft-billnass-rewind/ via @Side Makini Blog

VIDEO: Vanillah – I Gat U (Official Video) https://sidemakini.com/2025/06/19/video-vanillah-i-gat-u-official-video/ via @Side Makini Blog

Kupitia Instagram, @aslayisihaka ameonyesha kuvutiwa na ngoma mpya ya Mbosso kutoka kwenye EP yake #RoomNumber3, hasa kibao cha “Asumani” kilichozalishwa na @goodmaster255 kwa ladha ya Singeli na Mchiriku. 🎧 Aslay aliandika: “Huyu mtoto hana adabu @mbosso_” – kauli ya kimzaha lakini ya kiungwana, ishara ya heshima kubwa kwa sanaa ya Mbosso. 🧡 Tangu EP hiyo itoke Juni 13, mastaa kama Aslay, Rayvanny na Harmonize wameonekana kuonesha sapoti isiyo kifani kwa Mbosso. 🔁 Je, tunaweza kuona kolabo ya Aslay x Mbosso tena? 🗣️ “Asumani” inazidi kuwasha masikioni mwa mashabiki wa singeli! #SideMakiniBlog
