Side Makini Blog
Side Makini Blog
June 7, 2025 at 08:50 PM
Msanii kutoka Nigeria, Chella, aliyefanya collabo na #diamondplatnumz kwenye wimbo “My Darling (SweetMelody)”, ameeleza kukerwa na comments za kisiasa kutoka kwa Watanzania kwenye kurasa zake. 🔥 Baada ya kutangaza kuwasili Tanzania kwa ajili ya show Mwanza, alishangazwa na comments kama: “NO REFORM NO ELECTION” zikimiminika kwenye page zake. Chella amesema: "Mimi si mwanasiasa... sipendi mivutano kama hii kwenye page zangu." Je, ni haki kwa mashabiki kumiminia ujumbe wa kisiasa kwa msanii wa nje? Tuambie maoni yako! 👇 #sidemakiniblog
Image from Side Makini Blog: Msanii kutoka Nigeria, Chella, aliyefanya collabo na <a class="text-bl...

Comments