
Side Makini Blog
June 8, 2025 at 12:01 PM
Haijalishi ni ukurasa wa nani – iwe kampuni, media au msanii wa nje kama @Chellaboi (Nigeria) – kila post imevamiwa na comments za “No Reforms, No Election” au “NRNE”!
Baadhi ya viongozi wa serikali wamezima maoni (comments) kabisa!
📣 Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa asema:
“Watu wameamua kufanya hivyo, tutafanyaje?”
➕ Serikali yaonya: “Mitandao isitumike vibaya, ni kupoteza bando!”
Je, hii ni nguvu ya umma au fujo ya kidigitali?
✍🏾 Tuambie mtazamo wako kwenye comments👇
#sidemakiniblog
