Side Makini Blog
Side Makini Blog
June 8, 2025 at 04:00 PM
Mshindi wa Tuzo ya #oscar na muigizaji/mwanamuziki maarufu, Jared Leto, ametajwa na wanawake tisa katika tuhuma nzito za mienendo isiyofaa ya kingono! Baadhi ya wanawake hao wamedai kufanyiwa vitendo hivyo wakiwa na umri wa miaka 16, katika ripoti mpya ya #airmail iliyochapishwa Juni 7. Miongoni mwa waliotoa madai ni DJ na mtayarishaji wa muziki Allie Teilz, ambaye amefufua tuhuma zake za zaidi ya miaka 10. Leto amekanusha vikali madai hayo, kupitia mwakilishi wake aliyesema: “Madai yote haya si ya kweli na tunayapinga waziwazi.” 🗣 Maoni yako ni yapi kuhusu sakata hili? 🔁 Share | 💬 Comment | 🔔 Follow #sidemakiniblog
Image from Side Makini Blog: Mshindi wa Tuzo ya <a class="text-blue-500 hover:underline cursor-poin...

Comments