Legal Minds Forum ⚖️
Legal Minds Forum ⚖️
May 10, 2025 at 12:43 PM
Utaratibu wa kumkamata mtuhumiwa umeelezwa vyema kwenye sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai. Pamoja na mambo mengine, mtuhumiwa anayo haki ya kuelezwa sababu za kukamatwa kwake. Binadamu hawezi kukamatwa kama kuku, askari anatakiwa kujitambulisha (kuonyesha kitambulisho), kisha kueleza sababu za kukamata mtuhumiwa kwa kuonyesha hati ya kukamata (arrest warant). ◇Unaweza kujiuliza swali kwamba je, asipofuata taratibu hizo kipi kifanyike?.......Taratibu za ukamataji zisipofuatwa, hakikisha unaieleza Mahakama wakati wa kujitetea. Ni sababu nzuri inayoweza kupelekea kuachiwa huru. Katika kesi hii, mtuhumiwa ameachiwa huru kwa sababu taratibu za ukamataji hazikufuatwa. #legalmindsforum #ijuesheria #fanyakazi
Image from Legal Minds Forum ⚖️: Utaratibu wa kumkamata mtuhumiwa umeelezwa vyema kwenye sheria ya mwen...
👍 🙏 3

Comments