
Legal Minds Forum ⚖️
May 19, 2025 at 12:21 PM
UHAINI ni:
Kitendo cha mtu mmoja au kundi kusaliti nchi yake kwa njia kama vile;
—Kushirikiana na adui wa taifa
—Kujaribu kupindua serikali
—Kufichua siri za nchi kwa maadui
—Kuharibu/kuhujumu usalama wa taifa
Unahisi LISU amefanya hayo kweli. Jibu ni NO sasa why apewe case ya TREASON.???
😂
👍
3