Legal Minds Forum ⚖️
Legal Minds Forum ⚖️
May 23, 2025 at 02:33 PM
Katika kuzingatia kama mazingira yanaruhusu utambuzi sahihi, Mahakama imekuwa ikisisitiza kwamba, pale shahidi anapomtambua mshitakiwa kwa mara ya kwanza, ni muhimu kwa shahidi kueleza kwa kina utambulisho wa mshitakiwa.”✍️✍️⚖️
Image from Legal Minds Forum ⚖️: Katika kuzingatia kama mazingira yanaruhusu utambuzi sahihi, Mahakama ...
👍 🙏 🫡 4

Comments