Chama Imara Na Samia

Chama Imara Na Samia

205.5K subscribers

Verified Channel
Chama Imara Na Samia
Chama Imara Na Samia
May 28, 2025 at 03:39 PM
*DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA NEC* Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichofanyika katika Ukumbi wa NEC, jijini Dodoma, leo Jumatano, tarehe 28 Mei 2025. #ends

Comments