
SITTA SPORTS ARENA
May 29, 2025 at 08:30 PM
*SINGIDA WAUMIZWA NA MAAMUZI YA REFA⚽*
*Afisa Habari Singida BS (Massanza) amesema kama TPLB haitowasikiliza kuhusu malalamiko waliyowaandikia ya kutaka Mwamuzi Heri Sasii achukuliwe hatua na kutowapangia waamuzi wenye mashaka nao, basi watajitoa kwenye mashindano yote Ligi Kuu & CRDB Federation. (Chanzo: E Sports EFM)*
SITTA SPORTS UPDATES ⚽
