SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
May 29, 2025 at 09:18 PM
*ZA NDAAAANI KABISA ⚽ 👇* *Taarifa za kuaminika ni kuwa CAF wapo kwenye hatua za mwisho za kumaliza uchunguzi juu ya matukio mbalimbali katika fainali ya CAFCC katika mikondo yote miwili na huenda Simba SC ikapata adhabu kali.* *Hii inatokana na mienendo ya baadhi ya Viongozi na Mashabiki wa Simba SC.* SITTA SPORTS UPDATES ⚽
Image from SITTA SPORTS ARENA: *ZA NDAAAANI KABISA ⚽ 👇*  *Taarifa za kuaminika ni kuwa CAF wapo kwen...

Comments