SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
June 1, 2025 at 03:11 AM
*PSG MABINGWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE KWA MARA YA KWANZA⚽* Mabingwa wa Ligi Kuu ya Ufaransa ‘Ligue 1’, Paris Saint-Germain (#psg) wameonesha huu ni mwaka wao, kwa kubeba taji la #uefachampionsleague (Ligi ya Mabingwa Ulaya), pia kushusha kipigo Kizito kwa #intermilan ya Italia, Magoli 5-0 PSG inayonolewa na Kocha Luis Enrique, imebeba taji hilo kwa magoli ya Achraf Hakimi (12), Désiré Doué (20, 63), Khvicha Kvaratskhelia (73) na Senny Mayulu (86) Huo unakuwa ubingwa wa kwanza kwa timu ya Ufaransa katika michuano hiyo. SITTA SPORTS UPDATES ⚽
Image from SITTA SPORTS ARENA: *PSG MABINGWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE KWA MARA YA KWANZA⚽*  Mabingwa wa ...

Comments