SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
June 6, 2025 at 02:11 PM
*KAMDOMO KAMPONZA FADLU ⚽* Kocha wa klabu ya Simba, Fadlu Davis ametozwa faini ya Tsh. Milioni mbili kwa kosa la kuishutumu Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kuwa ina ajenda tofauti kuhusiana na ratiba ya michezo ya klabu hiyo kwenye Ligi Kuu ya NBC. Adhabu hiyo imetokewa na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) baada ya kocha huyo kuzungumza hayo kwenye mahojiano na Azam TV baada ya kumalizika kwa mchezo huo akionesha kutoridhishwa na ratiba ya michezo ya Ligi ya klabu yake. SITTA SPORTS UPDATES ⚽
Image from SITTA SPORTS ARENA: *KAMDOMO KAMPONZA FADLU ⚽*  Kocha wa klabu ya Simba, Fadlu Davis ameto...

Comments