
WATANI WA JADI
May 15, 2025 at 05:57 PM
Caf wamekagua uwanja na kujiridhisha kwamba kila kitu kiko sawa ila wakaweka hoja mbili mezani.
1. Kwa kuwa Caf final ni platform. Ili kusiwepo na shaka yoyote make hali ya hewa ya Dar haitabiriki, bora wapeleke match Zanzibar.
2. Kwa kuwa mashindano ya Chan yanafanyika hapo kwa Mkapa, basi TFF watumie muda huu uliobaki up to July kuboresha zaidi uwanja.
TFF,Simba na Serikali. washakutana na kujibu hoja zao.
1. Wamewaambia washauza zaid ya Ticket 15,000. Uwanja wa Amani hauna uwezo wa kuacommodate ticket ambazo zishauzwa. je hizi ticket watazipeleka wap?
2. Simba washapeleka report ya TMA Caf wakiwaambia kwamba mamlaka ya hali ya hewa ishatoa report ikisema tangu tarehe 23 mpaka 26 Dar hapatakuwa na mvua.
3. Wana muda mwingi wa kuandaa uwanja baada ya game ya may 25 Kwani chan inaanza July which is almost 2month space.
All in All hizi ni figisu za Berkane. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Caf ( Fauzi Rekjer.- first Vice president wa Caf) ni Mmoroco na yuko kwenye Board ya Berkane. Ukubwa Wa Simba Ndo Utajibu maswali mengi yaliyosalia
