
WATANI WA JADI
May 16, 2025 at 08:48 AM
🚨🇹🇿 *MAALUMU KWA WANASIMBA*
Rais wa klabu kubwa ya Tanzania, Simba SC, Bw. Mo Dewji, ametuma ujumbe wa moja kwa moja kwa Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe.
Bw. Mo ameeleza kusikitishwa sana na uamuzi wa kupeleka fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF msimu wa 2024/25 kuchezwa Zanzibar.
Amemwomba Rais wa CAF kuingilia kati suala hilo na kuhakikisha mchezo huo unachezwa Dar es Salaam.
*ZA NDANI ZINASEMA*
Iwapo mchezo huo utachezwa Zanzibar, Mo hatohudhuria