
WATANI WA JADI
May 17, 2025 at 08:49 AM
🚨 *JE YAJAYO YANAFURAHISHA AU YANASIKITISHA? TUKAE KWA KUTULIA:*
Rais Dkt. Patrice Motsepe atatoa tangazo muhimu jijini Cairo, Jumapili tarehe 18 Mei.
Tangazo litaanza saa 3:00 asubuhi kwa saa za GMT.
Tufuatilie hapa kwa taarifa za moja kwa moja.
