WATANI WA JADI
WATANI WA JADI
May 17, 2025 at 11:01 AM
*HABARI ZA HIVI PUNDE* Kutokana na hitimisho la ripoti baada ya ukaguzi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa: *"Licha ya kuwepo kwa changamoto katika mfumo wa mifereji ya maji ya mvua, matatizo ya mwelekeo wa ardhi, na tabaka lisilopitisha maji lenye unene wa sentimita 13 lililo chini ya nyasi, Uwanja wa Benjamin Mkapa umefikia viwango vya kimataifa vinavyoruhusu michezo kuchezwa."* *"KAMA WADAU WA MICHEZO, 𝐇𝐀𝐓𝐔𝐎𝐍𝐈 VIASHIRIA 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 vinavyoweza kuzuia mpira wa miguu kuchezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa."*
Image from WATANI WA JADI: *HABARI ZA HIVI PUNDE*  Kutokana na hitimisho la ripoti baada ya ukagu...

Comments