
WATANI WA JADI
May 18, 2025 at 07:18 AM
*MSAFARA WA YANGA WAZUA GUMZO*
Maswali yamekuwa mengi vichwani mwa watu kuhusiana na Msafara wa Yanga huko Tanga,kuna wadau mbali mbali wamekuwa na maswali mengi yasiyo na majibu...👇
1. Huu Msafara wa Yanga ni kwaajili ya kuhudhuria kwenye Mechi ya nusu fainali au ni maandmano?
2. Kwanini Magari yote wameandika "HATUCHEZI"?
3. Je wanachokifanya ni sahihi kisoka?...
4. je inaleta taswira gani kwa Mpira wetu wa Tanzania?
Majibu,
Labda tuwajibu kwa kifupi kabisa,kila timu ina style yake ya kushangilia na kusherehekea na sisi Kama wanayanga tumeamua tuje na style yetu ya kuisapoti team yetu 🙏
LAKINI UJUMBE WETU
💬...Hatuna Shida na mtani, waandishi Wala wachambuzi ila sisi shida yetu ni moja tu, yaani HATUCHEZI NG'OOOO mpaka tupate majibu kutoka TFF ya kwanini Busara itumike kwa Yanga tu, na kwanini Mechi iliahirishwa tarehe 8 na kwanini Bodi ilipanga tarehe ya Mechi bila hata makubaliano ya team zote mbili
Je TFF wanayo maelezo ya kina juu ya hilo?
