
WATANI WA JADI
May 19, 2025 at 12:10 PM
Baada ya review ya pili baina ya CAF dhidi ya TFF na Simba SC, CAF imetoa majibu ya awali kuwa licha ya kuona maendeleo ya uwanja wa Mkapa ni mazuri lakini bado haujakidhi kuuchezea fainali ya CAFCC
TFF na Simba hawajakata tamaa wanaendelea na mazungumzo zaidi ili wakubaliwe.
CAF wamekabia juu sana hili sakata sijui kama TFF na Simba watapiga hata On target 🎯😅
