
WATANI WA JADI
May 21, 2025 at 05:47 PM
Misri, Tunisia, Morocco na Afrika Kusini zimeijulisha FIFA kwamba dirisha lao la usajili litafunguliwa kuanzia Juni 1 hadi 10 ili kuruhusu klabu za Al Ahly, ES Tunis, Wydad na Mamelodi Sundowns kusajili wachezaji wapya kuelekea mashindano ya Kombe la Dunia la Klabu.
Nchi nyingine 16 pia zimechukua hatua kama hiyo. Nchi hizo ni:
* Argentina
* Austria
* Brazil
* England (Uingereza)
* France (Ufaransa)
* Germany (Ujerumani)
* Italy (Italia)
* Japan (Japani)
* Korea (Korea Kusini)
* Mexico City (Jiji la Mexico)
* New Zealand (New Zealand)
* Portugal
* Saudi Arabia (Saudi Arabia)
* Spain (Hispania)
* UAE (Falme za Kiarabu)
* USA (Marekani)
LINI WABABE WA TANZANIA WATAIBGIA KWENYE KUNDI HILO LA KOMBE LA DUNIA
Maoni yako hapa
