
WATANI WA JADI
May 22, 2025 at 10:51 AM
#kenya: Jeshi la Polisi limefika katika Jengo la Ubalozi wa Tanzania Jijini #nairobi, leo Mei 22, 2025 ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za Maandamano yaliyopangwa na Wanaharakati wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa Mwanaharakati maarufu #bonifacemwangi
Wanaharakati hao wanaandamana kwa Amani wakitaka Serikali ya #tanzania kutoa maelezo kuhusu sababu ya kushikiliwa kwa Mwangi ambaye walikuja Tanzania kufuatilia kesi inayomkabili Mwenyekiti wa #chadema Taifa, #tundulissu, Mei 19, 2025.
Soma zaidi https://jamii.app/PolisiUbaloziTZKE
#jamiiforums #jamiiafrica #diplomacy