
WATANI WA JADI
June 6, 2025 at 03:55 AM
Mzigo huu wa abnormal utasafiri kwa wastani wa mwezi mmoja kuanzia leo tarehe 05.06.2025 kutoka Mtwara kupitia Ruvuma - Njombe - Iringa - Morogoro - Dodoma - Singida - Tabora - Shinyanga - Mwanza
VIPIMO
Urefu mita 29
Upana mita 5.6
Kimo mita 7.4
Watumiaji wa barabara maeneo yote utakapopita mzigo huu tuchukue tahadhari.
