WATANI WA JADI
WATANI WA JADI
June 7, 2025 at 09:40 AM
Kampuni ya Raphael Logistics Jana tar 5 Jun 25 imeaza safari ya kubeba boti hii kutoka Mkoani Mtwara kwenda Mkoani Mwanza Safari hii kutoka mtwara itapitia Mikoa ya Ruvuma, Njombe, Iringa, morogoro, Dodoma,Singida,Tabora,Shinyanga,Mpaka kufika Mwanza. Safari hii itachukuwa muda wa mwezi mmoja hadi kufika Gari hiyo imebeba Mzigo ambao una vipimo vifuatavyo Urefu-mita 29 Upana-mita 5.6 Kim-mita 7.4 Hapa kijijini kwetu mnolela Lindi mzigo huu ulipitishwa Majira ya saa 9:55pm Tupo bampa2bampa mpaka mwanza
👍 1

Comments