
CRDB Bank Plc
May 12, 2025 at 07:41 AM
Mambo kwa ushahidi 📹
Ukiacha maneno ya mshindi wetu George, sura yake tu inatosha kusema kuwa wameenjoi msosi mtamu, kupaa angani na Balloon, kuwaona wanyama🐘🦁 kama wote mbugani pamoja na kuimba na kucheza pamoja. Haya ni mataokeo ya TemboCard inapotumika. Upo tayari kwa droo ijayo?
#swahibanaweweumo
#crdbtembocardshwaaa
#crdbbank
#tunakusikiliza
🙏
👍
❤️
😮
20