
CRDB Bank Plc
May 13, 2025 at 08:03 AM
Wana Kinondoni hapo vipi?
Swahiba wetu Ngansusye Pallangyo, kama kaimu meneja wa Tawi la jipya la CRDB Kinondoni anaelezea uwepo wa tawi hili tulilolisogeza kwa wanakinondoni na maeneo ya jirani kujipatia huduma za kibenki.
Kama kawaida yetu, Miaka 30 ya Benki ya CRDB ni mwendo wa kumfikia kila mtanzania. Karibuni CRDB Kinondoni.
#swahibanaweweumo
#crdbbank
#tunakusikiliza
👍
❤️
10